Saturday, June 6, 2015

Soma uone jinsi mama mwenyenyumba alivyompa housegirl ruhusa ya kuolewa na mmewe

MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu pls
MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua?
DADA:ndio nimepanga kabatini. mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV sebulen, lkn baada ya muda mama anamuita dada akapange suruali kadhaa na mashati kwa ajili ya safari ya kesho,dada anapanga kila kitu anatoka
MKE: kama tayari hakikisha unarekebisha yale mashuka pale kitandan weka na maji bafuni, dada anafanya na kwenda zake kulala, asubuhi dada anaamka mapema na kuandaa kila kitu ikiwamo na chai, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka.
MKE: dada msindikize baba ili ufunge geti sbb bado ni giza
DADA: sawa mama, dada anatoka na begi la baba hadi nje kwavile mkewe yupo ndani , baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto, dada anaitika na kusema nawao wanamuombea safari njema. Baada ya muda baba anarudi toka safari
MKE: huku akitabasam, dada si umemuona baba amerudi vipi chakula tayari?
DADA: ndio. 
MKE: haya kapange meza vizuri mimi nandaa juice. Baada ya muda wanakula na baba anagundua juice sio nzuri anaamua kuiacha na kusema leo wamesahau kuweka baadhi ya vitu hivyo hataweza kuinywa. Baadae baba anakumbuka kuwa aliacha boxer zake kwenye ndoo ya maji chumban na kufunika mfuniko, anamuuliza mama vipi zile nguo zangu kwenye ndoo zilifuliwa? Maana nilisahau kusema kama zina maji
MKe: dada njoo hapa hivi zile nguo za baba chumbani ulifua? 
DADA: ndio mama (lkn hasemi kama alianua na kuweka chumbani kwake akidhan atakunja baada ya kazi kupungua)
MKE: darling zilifuliwa
MUME: na watoto vipi wameshalala?
MKE: anajibu wamelala darl
MUME: vipi dereva wao alifika kuchukua pesa yake?
MKE: dada eti uncle Hassan amechukua pesa yake?
DADA: hapana wamembadilishia gari uncle Hassan amesafiri kwa muda
MKE: tutampatia darl siku akirudi acha dada aendelee kuitunza
MUME: basi vizuri, ehee vipi na tution walienda leo
MKE: ndio walienda (anamgeukia dada, si eti ee walienda si eti)
DADA: hapana Kelvin anaumwa leo siku ya pili nilinunua dawa dukan nimempa lkn hajambo
MKE: anashangaa hee mtoto mgumu huyu kumbe jana alikua mgonjwa halafu wala!!! alikua anacheza tu jamani watoto!! Asante dada umefanya vizuri
MUME: haya mimi niwaache nataka nikapumzike lkn darl nitaomba zile boxer nichome kabla ya kulala sababu zimeanza kuchoka
MKE: anaingia chumbani anafungua kabati na kuzikosa lkn kabla hajajieleza anamuona dada analeta mzigo wa boxer zikiwemo chupi za mama na mataulo
MUME: basi dada zirudishe tutachambua kesho nenda kafanye kazi zako, mume anainuka na kuelekea kulala, lkn anagundua mke wake alimwaga nguo kitandan wkt anatafuta boxer hivyo anaamua kurudi sebuleni ili aombe kuandaliwa kitanda, kwavile chumba cha dada kipo jiran na chao anagundua dada ameacha mlango wazi, anaamua kuufunga ili mbu wasiingie lkn anaona baadhi ya mashati na suruali zake zikiwa zimenyooshwa na kuwekwa pemben huku kitanda kikiwa kimetandikwa kwa ustadi anaamua kufunga mlango na kutoka, anafika sebuleni anakuta mama anatazama tamthilia anamwambia akatandike kitanda
MKE: dada njoo, (kwa sauti ya kunong'ona) naomba ukatandike kitanda haraka
DADA: tayari nilipeleka viatu vya baba nikaamua kutoa na zile nguo
MKE: anaamka na kwenda kuhakikisha anarudi na kumwambia mumewe tayari aende akalale
MUME: anaenda kulala lkn huku akijuiliza sana ni nini amfanyie huyu dada kwa ukarimu anaowafanyia hapo nyumban, kwanza anajua ni vitu gani baba anabeba akiwa safarini, ndio pekee anaemtakia safari njema na kumuombea, ndio anaefua boxer zake na kutunza vizuri, ndio anaepika chakula kitamu, ndio anaetandika kitanda chake, ndio anaejua juice gani baba anapenda, ndio anaejua kama watoto wamerudi vipi kutoka shule, vilevile ndio anaejua kama watoto wake wanaumwa ama vipi. Sasa mnafikiri baba atamzawadia nini huyu binti ambae amebakiza kujua style anazopenda baba tu, si atamfundisha ili kesho asimsumbue tena mke wake ambae kila kitu lzm amuulize dada. Akina baba hawaridhiki lkn wamama tujitahidi hata kama tunamajukumu kiasi ganiMUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu pls
MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua?
DADA:ndio nimepanga kabatini. mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV sebulen, lkn baada ya muda mama anamuita dada akapange suruali kadhaa na mashati kwa ajili ya safari ya kesho,dada anapanga kila kitu anatoka
MKE: kama tayari hakikisha unarekebisha yale mashuka pale kitandan weka na maji bafuni, dada anafanya na kwenda zake kulala, asubuhi dada anaamka mapema na kuandaa kila kitu ikiwamo na chai, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka.
MKE: dada msindikize baba ili ufunge geti sbb bado ni giza
DADA: sawa mama, dada anatoka na begi la baba hadi nje kwavile mkewe yupo ndani , baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto, dada anaitika na kusema nawao wanamuombea safari njema. Baada ya muda baba anarudi toka safari
MKE: huku akitabasam, dada si umemuona baba amerudi vipi chakula tayari?
DADA: ndio. 
MKE: haya kapange meza vizuri mimi nandaa juice. Baada ya muda wanakula na baba anagundua juice sio nzuri anaamua kuiacha na kusema leo wamesahau kuweka baadhi ya vitu hivyo hataweza kuinywa. Baadae baba anakumbuka kuwa aliacha boxer zake kwenye ndoo ya maji chumban na kufunika mfuniko, anamuuliza mama vipi zile nguo zangu kwenye ndoo zilifuliwa? Maana nilisahau kusema kama zina maji
MKe: dada njoo hapa hivi zile nguo za baba chumbani ulifua? 
DADA: ndio mama (lkn hasemi kama alianua na kuweka chumbani kwake akidhan atakunja baada ya kazi kupungua)
MKE: darling zilifuliwa
MUME: na watoto vipi wameshalala?
MKE: anajibu wamelala darl
MUME: vipi dereva wao alifika kuchukua pesa yake?
MKE: dada eti uncle Hassan amechukua pesa yake?
DADA: hapana wamembadilishia gari uncle Hassan amesafiri kwa muda
MKE: tutampatia darl siku akirudi acha dada aendelee kuitunza
MUME: basi vizuri, ehee vipi na tution walienda leo
MKE: ndio walienda (anamgeukia dada, si eti ee walienda si eti)
DADA: hapana Kelvin anaumwa leo siku ya pili nilinunua dawa dukan nimempa lkn hajambo
MKE: anashangaa hee mtoto mgumu huyu kumbe jana alikua mgonjwa halafu wala!!! alikua anacheza tu jamani watoto!! Asante dada umefanya vizuri
MUME: haya mimi niwaache nataka nikapumzike lkn darl nitaomba zile boxer nichome kabla ya kulala sababu zimeanza kuchoka
MKE: anaingia chumbani anafungua kabati na kuzikosa lkn kabla hajajieleza anamuona dada analeta mzigo wa boxer zikiwemo chupi za mama na mataulo
MUME: basi dada zirudishe tutachambua kesho nenda kafanye kazi zako, mume anainuka na kuelekea kulala, lkn anagundua mke wake alimwaga nguo kitandan wkt anatafuta boxer hivyo anaamua kurudi sebuleni ili aombe kuandaliwa kitanda, kwavile chumba cha dada kipo jiran na chao anagundua dada ameacha mlango wazi, anaamua kuufunga ili mbu wasiingie lkn anaona baadhi ya mashati na suruali zake zikiwa zimenyooshwa na kuwekwa pemben huku kitanda kikiwa kimetandikwa kwa ustadi anaamua kufunga mlango na kutoka, anafika sebuleni anakuta mama anatazama tamthilia anamwambia akatandike kitanda
MKE: dada njoo, (kwa sauti ya kunong'ona) naomba ukatandike kitanda haraka
DADA: tayari nilipeleka viatu vya baba nikaamua kutoa na zile nguo
MKE: anaamka na kwenda kuhakikisha anarudi na kumwambia mumewe tayari aende akalale
MUME: anaenda kulala lkn huku akijuiliza sana ni nini amfanyie huyu dada kwa ukarimu anaowafanyia hapo nyumban, kwanza anajua ni vitu gani baba anabeba akiwa safarini, ndio pekee anaemtakia safari njema na kumuombea, ndio anaefua boxer zake na kutunza vizuri, ndio anaepika chakula kitamu, ndio anaetandika kitanda chake, ndio anaejua juice gani baba anapenda, ndio anaejua kama watoto wamerudi vipi kutoka shule, vilevile ndio anaejua kama watoto wake wanaumwa ama vipi. Sasa mnafikiri baba atamzawadia nini huyu binti ambae amebakiza kujua style anazopenda baba tu, si atamfundisha ili kesho asimsumbue tena mke wake ambae kila kitu lzm amuulize dada. Akina baba hawaridhiki lkn wamama tujitahidi hata kama tunamajukumu kiasi gani
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment