Wednesday, June 10, 2015

Waandamana kwa kukosa waume wa kuwapa ujauzito Kenya


Waandamana kwa kukosa waume wa kuwapa ujauzito Kenya

Waandamana kwa kukosa waume wa kuwapa ujauzito Kenya
imechapishwa 09.06.2015 imebadilishwa 09.06.2015

Wanawake waandamana nchini Kenya wakidai kukosa waume wa kuwapa ujauzito

Wanawake katika jimbo la Ndeiya walifahamisha kuwa waume zao wanashindwa kuwapa ujauzito kutokana na mwenendo wa unywaji wa pombe haramu ambazo zinaathiri nguvu za kiume.
Katika maandamano ya amani yaliofanyika katika kituo cha biashara cha Thigio, wanawake walioandamana Akhamisi walifahamisha kukerwa na wanaume wanaojihusisha na ulevi kupita kiasi.
Nancy Wangare alifahamisha kuwa katika kijiji hicho wanawake wachache walioolewa wamevumilia kwa kiasi kikubwa kutokana na upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao kutokana na pombe wanazokunywa.
Mmoja miongoni mwa wanawake walikuwa wakiandamana alifahamisha kuwa iwapo tabia hiyo ya ulevi haitorekebishwa basi itawalazimu kutoka nje ya ndoa zao na bila wao kujua lolote na kuwahudumia watoto wasiokuwa wao.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment