Saturday, June 6, 2015

MSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI KIGOMA


Msafara wa Makongoro Nyerere wapata ajali Kigoma
Msafara wa mtoto wa baba wa Taifa hayati J.K. Nyerere, Makongoro Nyerere ambaye yuko Wilayani Kasulu mkoani Kigoma kusaka wadhamini 200 ili apate ridhaa ya kugombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM), moja ya magari yaliyokuwa kwenye msafara huo limepinduka na kujeruhi watu kadhaa.
Taarifa za uhakika tulizozipata, gari lililopinduka silo ambalo alikuwa amepanda Makongoro Nyerere, mtia nia huyo wa Urais kwa tiketi ya CCM, bali nigari lililokuwa na waandishi wa habari.
Walioumia katika ajali hiyo ni muandishi wa habari wa CH 10 Cyprian Musiba, na mtu mmoja ambaye jina lake hatujalifahamu.
Mh Makongoro yuko salama salmini, amewapa pole walioumia huku akisema kwamba anaamini ajali hiyo ni mipango ya mungu na amewataka wananchi wasifiki vinginevyo.
Unknown Web Developer

Morbi aliquam fringilla nisl. Pellentesque eleifend condimentum tellus, vel vulputate tortor malesuada sit amet. Aliquam vel vestibulum metus. Aenean ut mi aucto.

No comments:

Post a Comment